WACHEZAJI WA YANGA WALIO SAFIRI NA TIMU HAWA HAPA

Orodha ya wachezaji 17 waliosafiri na Yanga kwenda Algeria

Makipa

1-Youthe Rostand
2-Ramadhani Kabwili

Mabeki

1-Juma Abdul
2-Hassan Kessy
3-Haji Mwinyi
4-Gadiel Michael
5-Pato Ngonyani
6-Vicent Andrew Dante
7-Abdallah Shaibu Ninja

Viungo

1-Said Juma Makapu
2-Raphael Daudi
3-Pius Buswita
4-Yusuph Mhilu
5-Emmanuel Martin
6-Geofrey Mwashiuya

Washambuliaji

1-Juma Mahadhi
2-Yohana Mkomola

LihatTutupKomentar