Mabadiliko ya Muda mechi ya USM Alger na Yanga
Mabingwa wa Tanzania bara timu ya Yanga leo usiku inatarajia kuondoka kuelekea nchini Algeria wakipitia Dubai kuwafata USM Alger.
Yanga ndg . Msomaji wa Mkomesportnews watashuka Dimbani Jumapili May 6, 2018 kucheza na USM Alger mchezo wa Kombe la Shirikisho barani Afrika hatua ya Makundi.
Kuelekea Mchezo huo awali Tulikujulisha kuwa mchezo huo ambao utakuwa Live kupitia King’amuzi cha Azam Tv chaneli ya ZBC 2 kuwa utaanza majira ya saa saba mchana sasa utaanza saa 4 Usiku siku hiyohiyo ya Jumapili.
RATIBA YA MECHI ZA YANGA KUNDI D
Mei 6, 2018: USMA v Yanga, Algiers
Mei 16, 2018: Yanga v Rayon, Dar Es Salaam
Julai 18, 2018: Gor Mahia v Yanga, Nairobi
MECHI ZA MARUDIANO
Julai 29, 2018: Yanga v Gor Mahia, Dar es Salaam
Agosti 19, 2018: Yanga v USMA, Dar es Salaam
Agosti 29, 2018: Rayon v Yanga, Kigali