MATOKEO MTIBWA VS YANGA HAYA HAPA

Mpira ni mapumziko MTIBWA 0-0 YANGA mchezo ukiwa wa pande zote mbili pia mchezo huu umetawaliwa Sana na mvua kubwa inayoendelea kunyeesha maeneo mbalimbali

                       HALF TIME 
MTIBWA 0-0 YANGA
Kipindi cha pili kimeanza kwa kasi huku timu zote zikiwa zinashambuliana kwa kasi mnamo dk 38' Hassan Dirunga akaipatia mtibwa goal la kwanza wchezaji wa yanga lijitahidi kusawazisha lakini juhudi zaohazikufanikiwa huku na vijana wa mtibwa wakiwa nao makini kulinda goli lao
Mpaka dk 90 zinamalizika 
MTIBWA 1-0 YANGA

LihatTutupKomentar