MABADILIKO YA MECHI ZA YANGA



Mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara kati ya Yanga dhidi ya Mwadui Fc ambao awali ulipangwa kupigwa Jumatano, Januari 16, umerudishwa nyuma kwa siku moja na sasa utapigwa siku ya Jumanne, Januari 15 katika uwanja wa Taifa.
Mchezo huo utapigwa saa moja usiku.

Pia mchezo dhidi ya Stand United utakaopigwa dimba la Kambarage mkoani Shinyanga nao utapigwa Januari 19, ukiwa umerejshwa nyuma kwa siku moja.

LihatTutupKomentar