ARSENAL YAANZA VIZURI MWAKA 2019

Klabu ya Arsenal imeibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Fulham katika mchezo wa ligi kuu ya Uingereza, uliofanyika kwenye uwanja wa Emirates  jijini London.

Arsenal ndio walikuwa wa kwanza kuandika bao dakika ya 25 kupitia kwa Granit Xhaka, Alexandre Lacazette dakika ya 55, Aaron Ramsey dakika ya 79 na jingine likifungwa na Pierre-Emerick Aubameyang dakika ya 83 wakati lile la kufutia machozi la Fulham lilifungwa na  Aboubakar Kamara dakika ya 69

LihatTutupKomentar