YANGA YAZIDI KUCHANJA MBUGA


Kagera Sugar, wanapoteza mchezo wao wa 3 kwenye Ligi kuu baada ya kufungwa leo na Yanga wakiwa kwenye uwanja wao wa nyumbani Kaitaba na kuwafanya wabaki na pointi zao 17.

Takwimu zinaonyesha kuwa Kagera Sugar walipiga mashuti mengi kwenye Lango la Yanga huku Yanga wakicheza faulo nyingi na kufanikiwa kumiliki mpira kama ifuatavyo :-

Mashuti yaliyolenga lango:- Kagera Sugar 7- 5 Yanga.

Mashuti nje ya lango :- Kagera Sugar 1- 10 Yanga.

Kona :- Kagera Sugar 4- 3 Yanga.

Faulo :- Kagera Sugar 14- 24 Yanga.

Kuotea :- Kagera Sugar 3-1 Yanga.

Kadi za njano:- Kagera Sugar 2- 2 Yanga.

Umiliki wa Mpira:- Kagera Sugar 47- 53 Yanga.

LihatTutupKomentar