WEMA SEPETU AFIKISHWA MAHAKAMANI KISUTU




Mwigizaji  na mlimbwende  wa Miss Tanzania mwaka 2006, Wema Sepetu amefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Alhamisi Novemba Mosi, 2018.

Wema amefikishwa mahakamani hapo saa 4 asubuhi na kupelekwa katika chumba cha mahabusu.

Amefikishwa mahakamani hapo akisindikizwa na polisi huku akiwa amevaa miwani na kujitanda ushungi.P

LihatTutupKomentar