WAYNE ROONEY AKOSA PENATI AINYIMA USHINDI TIMU YAKE

Mshambuliaji Wayne Rooney akiwa haamini macho yake baada ya kukosa penalti ya kwanza, DC United ikitolewa kwa penalti 3-2 kufuatia sare ya ya 2-2 na Columbus Crew katika mchujo wa Ligi ya Marekani, maarufu kama MLS Alfajiri ya leo Uwanja wa Audi Field mjini Washington, District of Columbia

LihatTutupKomentar