TFF YAZIDI KUWAKUMBUSHA YANGA

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesema kuwa tarehe ya uchaguzi wa Yanga ipo palepale kama ilivyokuwa imepangwa.

Aidha, shirikisho limeeleza kama kuna mtu anamhitaji Yusuf Manji kugombea ni vema akawasili kwenye ofisi za TFF kwenda kumchukulia fomu.

Hii imetokana na wanachama wengi wa Yanga kuwa na wasiwasi wa kumpata mbadala wa Manji ambaye alitangaza kujizulu takribani mwaka wa pili sasa unaelekea kumalizika.

Tarehe ya uchaguzi wa Yanga iliyopangwa ni January 13 2019

LihatTutupKomentar