Liverpool haikamatiki


Mohamed Salah akishangilia baada ya kuifungia bao la kwanza Liverpool dakika ya 41 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Fulham Uwanja wa Anfield kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo. Bao la pili lilifungwa na Xherdan Shaqiri dakika ya 53.

LihatTutupKomentar