MTIBWA SUGER BADO WALIA NA HELA ZAO ZA UBINGWA

-Uongozi wa klabu ya Mtibwa Sugar umesema bado haujapokea fedha zao za ubingwa wa Kombe la Shirikisho la Azam Sports Federation Cup msimu uliopita baada ya kuifunga Singida United kwa magoli matatu kwa mawili (3-2).

-Fedha hizo ambazo zinatolewa na wadhamini wa kombe la Shirikisho (Azam Media) tayari zilishatolewa kwa shirikisho la Soka Tanzania (TFF) ila mpaka sasa bado fedha hizo hazijafika kwa mabingwa wa kombe la Azam Sports Federation Cup.

LihatTutupKomentar