HUYU HAPA MCHEZAJI MKONGWE ZAIDI LIGI KUU (TPL)

George Kavila kiungo mkongwe zaidi ligi kuu Tanzania bara . Muda aliodumu kwenye ligi tangu mwaka 1998 kuna wachezaji wengine waliopo kwenye ligi hivi sasa walikuwa vichanga kwa mama zao au wengine hawajazaliwa . Anawezakuwa mchezaji mkongwe zaidi kuichezea ligi yetu kwa muda mrefu mpaka sasa ( miaka 20 ) . Anaemfuatia ni Juma Kaseja mwenye miaka 18 hivi sasa !

LihatTutupKomentar