ROMELU LUKAKU AIFUNGIA MABAO UBELIGIJI

Romelu Lukaku akishangilia baada ya kufunga mabao mawili dakika za 31 na 81 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Iceland kwenye mchezo wa Kundi la Pili Ligi ya Mataifa ya UEFA usiku huu mjini Reykjavik baada ya Eden Hazard kuanza kufunga kwa penalti dakika ya 29

LihatTutupKomentar