KYLIAN MBAPPE AWEKA RECORD MPYA

-Mshambuliaji wa PSG na Ufaransa, Kylian Mbappé ameweka rekodi kuwa mchezaji kinda zaidi kuingia kwenye kikosi cha FIFA cha mwaka (FIFPro World XI). Mbappe mwenye umri wa miaka 19 amevunja rekodi ya Lionel Messi ya mwaka 2007 ambayo aliingia kwenye kikosi hicho akiwa na umri wa miaka 20.

-Wachezaji Cristiano Ronaldo na Lionel Messi wamekuwa wachezaji ambao wamefanikiwa kuingia kwenye kikosi cha FIFA cha mwaka (FIFPro World XI) kwa miaka 12. Pia kuanzia mwaka 2008-2017 miaka 10 Tuzo ya mchezaji bora walishinda Messi na Ronaldo kila mmoja mara tano.

LihatTutupKomentar