LIPULI FC YAMSAJIRI POUL NONGA


Lipuli FC imeimarisha safu yake ya ushambulizi kwa kumsajili Mkongwe, Paul Nonga.

Nonga anaziba pendo lililoachwa na Adam Salamba ambaye amejiunga na Simba.

Nonga amejiunga na Lipuli kwa mkataba wa mwaka mmoja akitokea Mwadui FC.

Nonga alirejea Mwadui FC akitokea Yanga ambayo aliichezea kwa msimu mmoja tu kabla ya kuomba kuondoka.


Pia club hiyo ya LIPULI FC imemshajiri WILLIAM GALLAS LUSIAN kwa mkataba wa mwaka mmoja 

LihatTutupKomentar