LIPULI FC YAHAHA KUMBAKISHA OWINO

Uongozi wa Lipuli FC utahakikisha beki wake mkongwe Joseph Owino raia wa Uganda haondoki.

Lipuli FC inataka kumbakiza Owino ili kuimarisha kikosi chake lakini imeonekana kuwa na hofu.

“Unajua wachezaji wamekuwa wakichukuliwa tu, lakini wako bado tunawahitaji, Owino tunataka abaki.

“Baada ya kumalizana na Owino, tutaangalia wengine tunaowahitaji na wale watakaoongezwa,” kilieleza chanzo.
LihatTutupKomentar