CROATIA NAYO YAPOKELEWA KI SHUJAA MAELFU YA WATU WAJITOKEZA MITAANI

Maelfu ya mashabiki wakiwa katika mtaa wa Bana Jelacica Square mjini Zagreb' wakati wa mapkoezi ya timu  ya taifa ya Croatia ikitokea Urusi ambao ilifanikiwa kumaliza nafasi ya pili kwenye Kombe la Dunia baada ya kufungwa 4-2 na Ufaransa 
LihatTutupKomentar