YANGA SASA YAAMUA KUFANYA KWELI YASHUSHA STRAIKA KIMYA KIMYA

Taarifa ni kwamba Yanga ambayo inajinadi kwa kufanya usajili wa Kimya kimya lakini wa uhakika kuelekea msimu Ujao imedaka saini ya Straika aliyekuwa kwenye rada zao kitambo.
Straika kutokea Benin akicheza katika klabu ya Buffles du Borgou Marcelin Koupko anadaiwa ameshatua Nchini toka Jana na ameshaingia Mkataba wa Kuitumikia Yanga miaka 2.
Taarifa zaidi zinasema Straika huyo huenda akaungana na Kikosi cha Yanga kilichopo nchini Kenya kwaajili ya Michuano ya Sportp

LihatTutupKomentar