SIMBA YATINGA FINALI YAIGALAGAZA KK HOMEBOYS

Mchezo Ulikua wa kasi pande zote mbili zikitafuta bao lakini juhudi zaohazikuzaa matuta hadi dakika 90 zinamalizika KK HOMEBOYS 0-0 SIMBA 
Nakuelekea katika changamoto ya mikwaju ya Penati Kama ifuatavyo

Allan WA Homeboys anafunga penati ya Kwanza
Haruna Niyonzima anafunga penati Upande wa Simba
KK Homeboys 1 – 1 Simba
Homeboys wanapata penati yao ya Pili
Erasto Nyoni anafunga penati upande wa Simba
KK Homeboys 2 – 2 Simba
Wafula wa Homeboys anafunga penati ya 3 ya Homeboys
Shomari Kapombe anafunga penati kwa Simba
KK Homeboys 3 – 3 Simba
Esiye anafunga upande wa KakamegaHomeboys
Shiza Kichuya anafunga upande wa Simba
KK Homeboys 4 – 4 Simba
Opondo wa Kakamega anakosa Penati ya Mwisho
Jonas Mkude anafunga penati
KK Homeboys 4 – 5 Simba, Simba wanaingia Fainali ya Sportpesa Super Cup
LihatTutupKomentar