MATOKEO SIMBA VS DAKADAHA


Simba 1 – 0 Dakadaha
Goaaaaaaaal Dakika ya 22 Adam Salamba anaipatia Simba bao la Pili.
Simba 2 – 0 Dakadaha
Dakika ya 25
Simba 2 – 0 Dakadaha ( Marcel Kaheza, Adam Salamba)
Dakika 30 zimeshakatika Simba wakimiliki zaidi Mpira Kuliko Dakadaha matokeo yakiwa bado 2 kwa 0
Dakika ya 36 Dakadaha wanafanya shambulizi zuri langoni mwa Simba lakini mpigaji wa Mwisho shuti lake linashindwa kulenga lango
Dakika ya 43 Adam Salamba karibia afunge bao la Tatu kwa Simba lakini mpira wake unaokolewa na Beki na Kuwa Kona.
Simba 2 – 0 Dakadaha (Kaheza, Salamba)
Dakika moja inaonyeshwa na mwamuzi wa akiba ili kukamilisha dakika za Kipindi cha Kwanza mchezo kati ya Simba sc na Dakadaha ya Somalia
Gooooooal
SIMBA 3-0 DAKADAHA
mpira mapumziko (half time)


HALF TIME
Simba 3 – 0 Dakadaha (Kaheza, Adam Salamba, Rashid Juma)
KIPINDI CHA PILI
Dakika ya 48
Simba 3 – 0 Dakadaha
Dakika ya 55, bado 3 – 0
Dakika ya 65
Simba 3 – 0 Dakadaha
Dakika ya 70 anatoka Rashid Juma anaingia Abdul Hamis
Dakika ya 75 Kwa Kutumia Mguu wa Kushoto anaipatia Simba bao la nne.
Simba 4 – 0 Dakadaha
Dakika ya 79 Marcel Bonaventure anatoka anaingia Said Hamis Ndemla
Moses Kitandu anashindwa kuendelea na Mchezo na nafasi yake anaichukua Mohammed Rashid
Dakika ya 85
Simba 4 – 0 Dakadaha (Kaheza, Salamba 2, Rashid Juma)
FULL TIME
Simba 4 – 0 Dakadaha (Kaheza, Salamba 2, Rashid Juma)
LihatTutupKomentar