MATOKEO YA TIMU YA VIJANA TANZANIA VS BRAZIL HAYA HAPA

-Timu ya wasichana ya Tanzana wanaoishi katika mazingira magumu imepoteza mchezo wake wa fainali wa kombe la dunia kwa watoto wanaaoishi kwenye maisha magumu kwa kufungwa kwa goli moja kwa bila (1-0) na Brazil
LihatTutupKomentar