Jumatano May 16 kutakuwa na mchezo wa Kombe la Shirikisho barani Afrika hatua ya Makundi kati ya Yanga wenyeji uwanja wa Taifa dhidi ya wageni rayon Sports ya Rwanda.
VIP A 15,000 ,
PS 3000.
Yanga watashuka katika mchezo huo ikimkosa Kiungo wake Said Juma Mkapu ambaye anakadi 2 za Njano na Kanuni za Mashindano zikizuia mchezaji mwenye kadi 2 za Njano kucheza mchezo unaofuata.