Uongozi wa club ya simb umesitisha ujenzi wa uwanja wao unaojengwa eneo ia Bunju jijini Dar es salaam, uongozi umesema umesitisha kwa sababu ya kupata fedha za kutoa nyasi bandia ambazo zinatakiwa kuweka kwenye uwanja huo, umesema unawataka wanachama wa club ya simba wawe wavumilivu kwani uwanja huo utaendelea muda sio mrefu.
Uongozi huo umesema hauwezi kuteteleka kwani fedha za uwanja huo zipo zimetengwa hadi ujenzi huo kumalizika ifikapo mwakani, Pia timu hiyo ya simba sc club kwa sasa ipo mkoani Mwanza ikijiandaa na kucheza na timu ya mwadui katika uwanja wa kambarege mkoani Shinyanga siku ya jumamosi octoba 29,2016, Kocha wa timu ya simba Omog akiahidi kumaliza bila kufungwa, anawaomba washahabiki wa simba kuisapoti timu yao ambayo kwa sasa inaongoza ligi.
Timu ya simba kwa sasa ipo katika kiwango kizuri kulingana na michezo yake ambayo imeshacheza ikionyesha kiwango cha juu baada ya kufanya vibaya misumu miwili mfululizo, imejiandaa msimu huu kunyakua ubingwa wa ligi ya vodacom.